Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Bado nataka kuona nani mlengwa hapa? Hii kitu isiishe hivihivi,...mleta thread please Rudi humu
 
Huyu ndiyo Demiss kwa wasio mfahamu.....
12565610_916931308356866_7421180796547755825_n.jpg
 
Kuna jamaa mmoja alinifuata pm Jana baada ya kuandika reply yangu kwenye huu Uzi kuhusu dada uliyoquote anasema walionana na huyu dada alipoenda dodoma mapumziko, ilikuwa wagegedane baada ya kufika anasema demu alikuwa kawaida sana mnene kiasi, shepu haiweleki na mweupe kiasi na hakumvutia kabisa,ikabidi aagize savvanah then akamuaga anaondoka kuendelea na ratiba..anasema hakumvutia kabisa, akanitumia picha zake na namba zake za simu anazotumia na akanipa majina yake anayotumia kwenye mitandao ya kijamii, fb na inst......nakubaliana na unachosema.
Kama ataridhia niziweke hapa hadaharani

Mm tangu Jana nilipoona hii thread nilijua tu huyu atakuwa danga


Hii ni chit chat bro sio kuanikana hapa ,kwani kakukosea kipi haswa acheni kuwa sirias hili jukwaa la kufurahi na kupunguza stelesi,namfaham kidogo Demiss ni binti mrembo tu damu changa
Hayo mengine itakuwa chuki
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
 
Jamani mtu kama huwezi kuwa chit chat nenda jukwaa la siasa,international,intelligence huku achana napo,sasa mnataka haya majukwaa yaandikwe habari za k7na mbowe au magu jamen,acheni hizo heko kwa Dark angel na espy pia meeya mmenifurahisha sanaa
Demiss atabaki kuwa juuu kileleni mawinguniii chiiiiiiiiii
Lamba loloooooo
 
Kuna mtu anajiquote mwenyewe humu[emoji23][emoji23]hatari sana[emoji23][emoji23]anatumia ID tatu ndani ya uzi huu huu mmoja[emoji57][emoji57]
Na bila shaka yeye ndie mlengwa kwenye hii thread. Anatumia uongo wake wa darasa la saba,.mara ooh naishi nje, mara nina pesa[emoji16][emoji28]kumbe likapukuu la kufa mtu!

Sasa bisha na hapa[emoji41](unajijua)
Nasema hivi....bisha na saivi nikuumbue[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Haipo hivyo. Kwani mbona Kuna uzi kibao zinaponda madada wa jf? Tunasoma zinatuboa siku zinasonga. Tungekuwa tunachukulia serious kihivyo watu wasingekuwa na marafiki humu jf. Umechukulia personal sana as if kakusema wewe.
Mimi nimegundua yeye ni muhanga na kama anajiamini kwa nini asije na Id yake ya siku zote? Idiot
 
Tatizo si hilo Demiss ID zenu fake zinatuchanya hata mimi nilishamkimbia mmoja alipost picha kumbe ya kudownload mi nikampa fomu ya usajili ila machale yakanicheza wakati wa apointment nibebana sehemu ananipigia naona dude tofauti kifuani mtindo wa kufa nadhani bra ina mkanda wa ngozi tumbo limekatwa pingili na linaning'inia vitako kama konzi, mwenyewe anawig kwa kuwa nilimpa mshikaji simu ampigie mi nikawa hapo namcheki mdada ana ndefu.
Inawezekana Demiss HAULIPI. Kwanini asisepe?
 
Aje aseme nini sasa, hizo chats unahusika au huusiki? Na id yako ya paploma mbona imepotea?
Amelog in kwa id hii. Wewe unadhani ana simu mbili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom