Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Ninani alisababisha mpaka single mother ikatokea kama siyo wewe? Acheni dharau
 
kwa nini single mother's?........
Sababu ni nyingi labda nikupe chache
Kuzaa kabla ya ndoa na me kukataa majukumu
Me kukimbia familia na kumwachia mama malezi
Kufiwa na mume wa ndoa
Bint kuamua kuzaa baada ya umri kuona unakwenda na ndoa haijapatikana
hizo ni baadhi tu. Sijui wewe unalewa nini kuhusu hilo?
 
Kwan na wewe ni single mother eti?
 
 
Wewe ndo waona hivo,sumu!walimuua nani labda?
Single mother alichonifanyia siri yangu,hadi leo sina mapenzi ya kweli kwa wengine.

Nimekuwa wa kubadilisha wanawake kila siku hadi sasa na kwa bahati mbaya nimejikuta nazalisha wanawake wawili.

Nimeongeza single mother wawili tena wakati sitaki kuwaoa,nitaoa ambaye hajazalishwa.

Kaa mbali na single mother ni sumu kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…