Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

kwan kumimbwa ni adi ubakwe tuu??
wanaume mnakejel sana kisa hambebi mimba na wala hamzai so mkishatia mimba mnalala mbele.
ila jueni kwamba hayo ni matokeo yenu. Na ninaamin mpaka sasa mmeshaanza kuisoma namba kwa jinsi mnavyokimbizwa na wamama si kwa mwendo huu wa kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. si kwa mwendo huu wa kusoma ninaouona kwa hawa akina mama
mtu hakimbii mimba hivi hivi, labda aone unagawa kwingi kwingi
 
Hahaha, hata wahenga walisha sema
Wagombanao ndio wapashanao, kuna ile bond tuu iliyo kuepo hadi watu wakaona huwa haitoki ile

*japo si wote, ika wengi hufanya hivo

ugomvi hadi kupelekana mahakamani,kutukanana na kudhalilishana

big noo!!

Hata isiwe hvyo kile kitendo cha kuachana tayari yaani it's over btn us!

Siwezi kua na wewe tena!!

Kwa sababu siwezi kucheat!!
 
pole sana Mkuu naona umeongea kwa uchungu sana. japo na mimi nshamfanya mtu kuwa single mother ila pia wasiwachukii kabisa masingle Mamaa
Hahaaaaahaaa!!
Kumbeee....!!!
Hongera!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa nikimjua unadhani nitaendelea nae?? Yaani huwa unajuaga too late, na mwanaume ambaye ni mpitaji likishatokea suala la mimba ndo anabadilika kabisa
Hahaa nyie tunawajua ka Bf kakisha kukosha siku mbili tuu unajiachia, ndio maana nikasema kuwa makini isitoke. Uki kaa na mtu ukamsoma tabia unajua kabisa kwenye kupenda usifungie akili.
 
Hahaa nyie tunawajua ka Bf kakisha kukosha siku mbili tuu unajiachia, ndio maana nikasema kuwa makini isitoke. Uki kaa na mtu ukamsoma tabia unajua kabisa kwenye kupenda usifungie akili.
Huwa tuko makini sana, ila sasa siku ya kufa nyani lazma miti yote iteleze mkuu
 
ugomvi hadi kupelekana mahakamani,kutukanana na kudhalilishana

big noo!!

Hata isiwe hvyo kile kitendo cha kuachana tayari yaani it's over btn us!

Siwezi kua na wewe tena!!

Kwa sababu siwezi kucheat!!
Sawa ila ni wachche sana wako hivo.
 
Back
Top Bottom