Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Kama na wewe ni mmoja wao sema nikujibu!
 
Wengi ni Wajuaji Sana na wenye kiburi.

Wanaamini Sana kwenye 50/50
 
wengi wanaolalamika ni wavulana wasiwaumize vichwa,wanaume hawana shida sana maana utakuta na yeye ana mtoto wake analelewa na mwanaume mwingine sehemu au analea mtoto wa mwanaume mwingine,
 
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Iceman 3D ameshakujibu.
 
Sio Wote wanatabia za Hivyo.

Binafsi yupo Mwanamke niliyezaa naye watoto wawili ambao kwa Sasa ninaishi nao Mimi baba Yao na Yeye anaendelea kugongwa na mtu mwingine na Wana mipango yao kufunga ndoa.

Mimi na yeye tunawasiliana kwa nadra kuhusu Hali za watoto tuliozaa Pamoja, Muda mwingine huwa najikuta nna chuki dhidi yake lakini najitahidi kuishinda Chuki hiyo. Kwenye maisha yangu sikuwahi kuwaza niwe na watoto kutoka Kwa Mama tofauti tofauti lakini kwa sababu yake imenibidi.

Nilishamsahe kitambo najitahidi nimchukulie kawaida but nafsi yangu imeshindwa.
 
Zipo familia zimesimama lakini watoto washaharibika;
zipo familia zimesimama lakini wanaondoka na maradhi ya kisasa;
naona wenye kuhukumu single mothers ni vijana wadogo ambayo hawajajitambua;
kuna mfano wa waliotokea mikono ya mama pekee yake like
barack-obama-recording-artists-and-groups-photo-u71.jpg

President Barack Obama was raised by his mother, Stanley Ann Dunham, from the time that he was born until he was four years old, when she married Lolo Soetoro.

jay-z-recording-artists-and-groups-photo-u62.jpg

Jay-Z was raised by his mother in New York after his father abandoned his family.
eddie-murphy-recording-artists-and-groups-photo-u43.jpg

Eddie Murphy's father died when he was very young. He was raised by his mother, Lillian, in Roosevelt, New York.
IMG_0010.jpg

Na huyu je?
 
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Single mothers ni bora mara 1000 kuliko wanaotoa mimba.

Shida ya single mothers ni moja tu kuwa huwa hawaachi kuwasiliana na kupeana mapenzi na waliozaa nao.

Mimi mwenyewe nampenda sana na tunasaidiana na single mother mmoja ila naogopa kumuoa kwajili ya mumewe, labda kama mumewe angekuwa amekufa.
 
Back
Top Bottom