Inno laka
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,616
- 585
Katika uko wetu ukioa janamke lililozalishwa unatakiwa upigwe mawe hadi kufa au jamii kukutenga .....ni mkosi jamaHakuna kitu ka hicho hayo ni mawazo yako potofu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika uko wetu ukioa janamke lililozalishwa unatakiwa upigwe mawe hadi kufa au jamii kukutenga .....ni mkosi jamaHakuna kitu ka hicho hayo ni mawazo yako potofu tu
Kuna watu walio wahi kuwadate single mothers wakaenda poa, ila wengi mambo hayawi mazuri, halafu baba wa mtoto anaweza piga mzigo muda wowote.
Hata wewe single mother mwenyewe sidhani kama ungependa mtoto wako wa kiume aje alee mtoto asiye wake.
Pia uki date na single mothers unafanya double work, umfurahishe mama na mwanae.
*kuna wale ambao walio zaa nao walifariki wana la kujitetea, zaidi ya hapo wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume wa kuzaa naye tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mjomba hakuna jambo nisilopenda kama kufuga mateka
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio unakuwa umependa hivo
Ngoja wahucka hao unaowalalamikia waje wakujibu .... sie wengne twakosa majibu coz hatujawah rusha hivo vjembe japo ni wanaume pia wa JF ....Hellow JF,
Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?
Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Kwa taarifa yako ni wachache wako hivyo, pili kuwa mpweke ni uamuzi wa mtu.
Amen.Siku zote mwanamke mtu mzima huzaa na mwanaume aliyempenda ila mambo hutuendea kombo tu na hatupendi itokee hivyo, ila Dunia ni uwanja wa mapambano na Mwanamke jasiri huendelea kupambana hata mkiwakosoa muwakosoavyo hatupi mtoto wake
iwe leo iwe kesho nikiwa single mother sitakatishwa tamaa na wanaume wenye akili hasi
Yes "Senior Single Mother"Dena we singo maza[emoji3]
Jamani [emoji4] [emoji4] [emoji4]Yes "Senior Single Mother"
My Pleasure...................I'm glad 4 you ...... and l like your positive thinking too
Kwani walishikiwa kisu ili watiwe mimba
Si waliachia mzigo wenyewe[emoji2]
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
Tema mate chini kijana, haya maisha hayana formula hakuna aijuae kesho isipokuwa Mungu peke yake, mshukuru sana Mungu kama umepata malezi ya baba na mama, lakini si hiyo kauli uliyoiandika hapo.... hakuna mtoto anaependa kulelewa na mama peke yake wala hakuna mama anaependa kulea watoto peke yake, dunia hii ni mapito ati, Mungu akusaidie sana
Na hao nduguzo waliozalishwa wakatelekezwa mnawafanya nini?Katika uko wetu ukioa janamke lililozalishwa unatakiwa upigwe mawe hadi kufa au jamii kukutenga .....ni mkosi jama
Good qn,nasubiri jibu hapaaaNa hao nduguzo waliozalishwa wakatelekezwa mnawafanya nini?