Hahhaaa! Kwani yanakutoboa? Muache atukaneee apambane na stress zake.Mweeee unataka aendeleee kunitukana maana ukipitia threads zangu lazima ukutee matus yakeee
AhahahahahahahWeekend kesho tutaaamka kuburudikaa
Niliaibika hiyo sku yan namtania muheshimiwaa jaman khaaaa mwenyewe na maneno yangu ya kichokoz yalinishukaaa shuuu sku hizi ananiambia amemiss utan wanguu anajutaaa kwann nilifahamiana nayeee anamiss vingi maana nilkuwa najiachia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Id fake zinatufichia mengi kwakweli.
Naona tu unavyokosha humu ndani. [emoji4]Kama kawaida yako
Hahahaah Nalendwa karibu huku uounguze stressMmenichekesha Aki, halafu mmekutana na Demiss na mama sabrina ndo kabsaa! [emoji28]
Hahahahaaaa!!! Na sijui huw ana stress gani hadi awe anatukana vile.Niliaibika hiyo sku yan namtania muheshimiwaa jaman khaaaa mwenyewe na maneno yangu ya kichokoz yalinishukaaa shuuu sku hizi ananiambia amemiss utan wanguu anajutaaa kwann nilifahamiana nayeee anamiss vingi maana nilkuwa najiachia
Dada nisingeweza tena maana mtu mkubwaa mzito jaman loooh
Yaaani wamenivunja mbavu acha kabisa. Nalala usingizi muruaaaaMmenichekesha Aki, halafu mmekutana na Demiss na mama sabrina ndo kabsaa! [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnatuogopesha jamani hatutajaribu bahati zetu mpaka tujiangalie kwenye vioo na kupima kiuno
Hahaaa unaweza kuwa na 33/34 lakin huna sura ya dadako kwa huu uzi lazima uogope [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiona una kiuno kumi jitahidi kula na mazoezi, mwanaume unakuwaje mwembamba hivyo!!!
Ili upenye vizuri kule njia panda ya miguu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiona una kiuno kumi jitahidi kula na mazoezi, mwanaume unakuwaje mwembamba hivyo!!!
Hahahaaa!!! Angalau kidogo umepunguza moja bwana.Hahaaa unaweza kuwa na 33/34 lakin huna sura ya dadako kwa huu uzi lazima uogope [emoji23] [emoji23]
Hapana kwakweli, utakuwa unagongwa gongwa na mifupa ukaishia kulia maumivu badala ya utamu.Ili upenye vizuri kule njia panda ya miguu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Lakini Demi...! [emoji28]Itakuwa maana mm Demiss napenda mtu awe na body kama ya Dr ulimwengu ndo huwa napendaaa sasa mtu mkavuuuuu mm wa kazi ganiii kumbeee picha alikuwa anaedit na filter anajifanya mnene kumbe weeeeh yerewiiiiii ngastukaaa mkavu kama anakunywaa gongo mashavu sasa mama ukijaa hapa kwenye shingo kuna mashimboo ndooo lita 5 ya maji inaingiaaaa
Itabidi kujua sifa zinazotakiwa zaidi lkn kigezo kikubwa uwe HB sijui km ni rahisi kujijua.. Ngoja nimpende mmoja nione [emoji12] [emoji12]Hahahaaa!!! Angalau kidogo umepunguza moja bwana.
Demiss unatutusi wengi, vibabu vijana tupo[emoji23] [emoji23]Acha kabisaa kuna watu wana comment kama vijana kumbe vibabu sasa utakavyokuwa unachat unamwambia mambo sweety rafiki na yy anakubali kumbe anafaaa kupewa shikamooo sku ukimuonaa linakushukaaa shuuuuuu
Ungempa tuu.. Au angeibandua na kuondoka nayo!?Mm kuna ndugu yangu alitumia acount ya rafk yake kunitongoza alikuwa bonge la mkaka enzi hizo mtoto nipo chuo mwaka wa kwanza nalipaaa chuchu konziii aiseee
Nikaingia lain sku nakutana nayee mweeeh nikajiuliza eeeeh ndugu yangu umekuja kufata nn eeeh alichonijibu niligeuzaaaa kutafuta toyooo
Kumbe alikuwa ananimezea mateee kitambooo