Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ulimuona hb enheeee!!!Lakini Demi...! [emoji28]
Hivi lakini kwa nini mtu asijikubali tu alivyo, halafu tena kwa mwanaume huwa naona kinyume sana wakijibadili muonekano.
Inaonekana kabisa hawajiamini na kwa mwanaume haipendezi kwa kweli.
Kama juzi kati hapa nilimuona mkaka fulani mahala very handsome mwenyewe, halafu kaanza kuwa na gray hair zile zinatokeaga moja moja na wala hajazibadili. Lakini usoni anaonekana kama kijana mdogo tu.
Kwa kweli nilimu admire kwa kuonyesha ujasiri na grey hair zake bila kuficha.
Malizia story sio unatoa nusu nusu bwana[emoji85] [emoji85] [emoji85]