Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Halafu mbona kama naijua hii I'd [emoji16]nausubiria kwa hamu huo uzi... ntakuwa mchochezi aliye makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mbona kama naijua hii I'd [emoji16]nausubiria kwa hamu huo uzi... ntakuwa mchochezi aliye makini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inafikirisha,mpenzi wa mtu kusifia lundo la wanaume!kuna harufu ya kuibiwa hapa.
Humble hivi unajua maana ya pugi ?@KANA mtu pekee ninaemiliki namba yake ya simu mule JF.. Sikusoma nae wala sijawahi kumcheck live ni mshkaji wa JF but ni mshkaji naemkubali na kumuelewa.
Siku zote ninakuambiaga una mshumaa tatizo unauwashiaga chini ya Meza... Demiss hawezi kuuona na kukuinclude kwenye hii noble list. Your priceless dude.
[emoji352] always!
Kesho kesho kutwa?!!Kesho sijasahau bina
Pole sana mkuu labda anakutaja moyoni ambayo ndio muhimu zaidi kuliko maandishiHao wengine hata wakinitaja sitakuwa na furaha kama amu angenitaja......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao wengine hata wakinitaja sitakuwa na furaha kama amu angenitaja......
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji102]
Bina kuna kinanivunja mbavu eti sisi ambao hatujatajwa ndio mapugi [emoji23][emoji23][emoji23]Kesho kesho kutwa?!!
Hilo ndilo Sijibu pm kwa sasa zaidi ya wale wastaarabu wa zamani baasi!Kazi ngumu sana,si unaona baadhi yetu tunaleta mambo ya humo tunaanika humu hadharani???
Kwa hyo ataukienda wanadhani ni wale wale tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mpira haungii golini hata kidogo![emoji23] [emoji23] [emoji23] safiii...attack attack attack hamna kupaki bus
Yaan Antonio kaniua mbavu,Kanichekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Shunie kesho anarudi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]michuraa!!!hapana mkuu mi msaka chura kama wewe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@KANA mtu pekee ninaemiliki namba yake ya simu mule JF.. Sikusoma nae wala sijawahi kumcheck live ni mshkaji wa JF but ni mshkaji naemkubali na kumuelewa.
Siku zote ninakuambiaga una mshumaa tatizo unauwashiaga chini ya Meza... Demiss hawezi kuuona na kukuinclude kwenye hii noble list. Your priceless dude.
[emoji352] always!
wacha arudi dada lakeShunie kesho anarudi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]michuraa!!!
Kaka yangu nakukubali sana pia. Sikubali sura wala swagga zako ila ubongo wakoWoow!! Na sisi tunakupenda sana Demiss sababu unajielewa sana na unajua fake and real one...coz real discover real.
Hata zamani nilipokuwa mnene kama Le mutuz nilikuwa navaa shati kubwa la njano then asubuhi nikienda kwenye mitkasi yangu watoto wananikimbilia wakidhani ni School Bus imefika kumbe ni mkali nimevaa shati kubwa la njano nakatiza [emoji23] [emoji23] ....but still nilikuwa najiamini sana...mwanaume confidence bhana.
Nimefurahi kuweko kwenye list yako hun!
Kisses and hugs![emoji176]
[emoji16][emoji16][emoji16]sana tu sina habareeeeUko chobingo si ndo penyewe sasa
Ahahaha!! Hapana best! Ila kajina kamekaa kishari sana, eti pugi...nisaidie kana maana gani?Humble hivi unajua maana ya pugi ?