Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

@KANA mtu pekee ninaemiliki namba yake ya simu mule JF.. Sikusoma nae wala sijawahi kumcheck live ni mshkaji wa JF but ni mshkaji naemkubali na kumuelewa.

Siku zote ninakuambiaga una mshumaa tatizo unauwashiaga chini ya Meza... Demiss hawezi kuuona na kukuinclude kwenye hii noble list. Your priceless dude.

[emoji352] always!
Humble hivi unajua maana ya pugi ?
 
@KANA mtu pekee ninaemiliki namba yake ya simu mule JF.. Sikusoma nae wala sijawahi kumcheck live ni mshkaji wa JF but ni mshkaji naemkubali na kumuelewa.

Siku zote ninakuambiaga una mshumaa tatizo unauwashiaga chini ya Meza... Demiss hawezi kuuona na kukuinclude kwenye hii noble list. Your priceless dude.

[emoji352] always!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

I think it's time to turn the tables!

[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Woow!! Na sisi tunakupenda sana Demiss sababu unajielewa sana na unajua fake and real one...coz real discover real.

Hata zamani nilipokuwa mnene kama Le mutuz nilikuwa navaa shati kubwa la njano then asubuhi nikienda kwenye mitkasi yangu watoto wananikimbilia wakidhani ni School Bus imefika kumbe ni mkali nimevaa shati kubwa la njano nakatiza [emoji23] [emoji23] ....but still nilikuwa najiamini sana...mwanaume confidence bhana.

Nimefurahi kuweko kwenye list yako hun!

Kisses and hugs![emoji176]
Kaka yangu nakukubali sana pia. Sikubali sura wala swagga zako ila ubongo wako
 
Back
Top Bottom