Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Walai nakwambia ndugu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walai nakwambia ndugu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitarajia unitaje hata ww umenitenga daaaah jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kila shetani na mbuyu wakeNilichoJIFUNZA ktk huu Uzi na ule wa wadada makini JF ,ni kwamba wale wote wanajiona mastaa JF ,sijaona wakitajwa wawe wa kaka wala wadada ,cjui tatizo nini?
Ahaaa keshokutwa kweliKesho kesho kutwa?!!
Ah ah ah ah ah sijuiPole sana mkuu labda anakutaja moyoni ambayo ndio muhimu zaidi kuliko maandishi
hahaha yakija mashuti 50 moja lazima liingie tu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mpira haungii golini hata kidogo!
Yaani nakuambia wanajishtukia balaa!pugi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mapugi
Exactly!! Weka huo mshumaa juu ya Meza uwaangazie macutte wa JF... They need that now.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I think it's time to turn the tables!
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pugi jamani ni msamiati mpya!Ambao hamjatajwa eti Antonio ahahah hilo neno linanifurahisha sana ,Ray ana maneno sana
labda hiyo avatar , umeonekana una mahaba sana na familia yako,,Walai nakwambia ndugu yangu
Ahahahaha Humble ni kamsamiati kapya hata kule kwenye kuprint nyumba unaweza kukatumia tuAhahaha!! Hapana best! Ila kajina kamekaa kishari sana, eti pugi...nisaidie kana maana gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnanivunja mbavu
Ha ha ha ha kanichekesha.Yaani nakuambia wanajishtukia balaa!pugi jamani
Ulitoa wapi hili neno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pugi jamani ni msamiati mpya!
[emoji16][emoji16][emoji16]pugi imeleta mambooBina kuna kinanivunja mbavu eti sisi ambao hatujatajwa ndio mapugi [emoji23][emoji23][emoji23]
BAK- aliendaga wapi huyu.Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
Sema nae henshamBora ninayempenda hayupo kwenye hiyo list.