D
Deleted member 485868
Guest
Ngoja nikaombe picha kwa humble
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena nikukuta tena kule nakushtaki kwa mchawi wako. Mi sipendagi ujinga kwenye maswala ya kibaiolojiaWewe babu si ulikuwa unatufukuza kule jukwaa la wahenga hufai kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah!! Kumbe huku kuendekeza mada za kisiasa ndo kunafanya tuonekane hatuna swaga!!!
Lakini kwa mbaaaaaali; kama kuna kaukweli flani hivi manake ukitoa "hi" kwa totozi; akili yake yote anaipeleka kwa Humphrey Polepole... !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaman kama nimeshindwa kutokeza kwenye top 10 yanaopendwa basi wadada mkiandaa ile ya wanaochukiwa japo msinisahau jaman. Hakuna kitu kinachouma kama kukosa sifa yoyote maishani[emoji27][emoji27][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] mzima wew?Hazard Shem lake woyooooooo
@yna4 kwa sababu nina confidence zaidi nitakutumia ile picha ambayo nimevaa lile shati kubwa la njano kama la le mutuz, lililowafanya watoto asubuhi asubuhi wanikimbilie wakidhani ni school bus? Kumbe tukunyema najipitia.[emoji23]Ngoja nikaombe picha kwa humble
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keyboard bana, unajikuta mtu una sura kali, ngumu na ya kutisha lakini unasifiwa kwa sifa kedekede ukija kwenye tabia kwenye mazingira ya kawaida sasa ndio usiseme......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Live long keyboard
Thubutuuu. Endeleeni kututamani tu nyuma ya keyboard. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnh! Huu sasa ni mtihani... nilidhani nikishaoga maji ya bahari kila kitu kitakuwa leve! Sa; swaga za mtu pori zitaendana kweli na totozi za JF ambazo nasikia wote eti ni Class A+++!!
Na sisi tumewashtukia. Wanaweka avatar kali halafu hawafikii hata robo ya avatar walizoweka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuambia sasa!fanyia kazi mawazo yangu!
Tafuta avatar moja kaliiiiii!!!!tupia hapo!cheza na PM[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Bila baba swalehe huu uzi ni batili na ninautengua
ukitoa "hi" kwa totozi; akili yake yote anaipeleka kwa Humphrey Polepole... !
Kakosea sana demiss [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Labda hawa waliotajwa ni sample space tu[emoji2] [emoji2]Kakosea sana demiss [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vibaya hivyo Mzigua, Mungu anakuona ujue! Kama ni swaga, tajifunza tu....Thubutuuu. Endeleeni kututamani tu nyuma ya keyboard. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] alicyclic hydrocarbonsLabda hawa waliotajwa ni sample space tu[emoji2] [emoji2]