Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Dah!! Kumbe huku kuendekeza mada za kisiasa ndo kunafanya tuonekane hatuna swaga!!!

Lakini kwa mbaaaaaali; kama kuna kaukweli flani hivi manake ukitoa "hi" kwa totozi; akili yake yote anaipeleka kwa Humphrey Polepole... !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaman kama nimeshindwa kutokeza kwenye top 10 yanaopendwa basi wadada mkiandaa ile ya wanaochukiwa japo msinisahau jaman. Hakuna kitu kinachouma kama kukosa sifa yoyote maishani[emoji27][emoji27][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngoja nikaombe picha kwa humble
@yna4 kwa sababu nina confidence zaidi nitakutumia ile picha ambayo nimevaa lile shati kubwa la njano kama la le mutuz, lililowafanya watoto asubuhi asubuhi wanikimbilie wakidhani ni school bus? Kumbe tukunyema najipitia.[emoji23]

Its all about confidence and self-bodymance.
 
Keyboard bana, unajikuta mtu una sura kali, ngumu na ya kutisha lakini unasifiwa kwa sifa kedekede ukija kwenye tabia kwenye mazingira ya kawaida sasa ndio usiseme......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Live long keyboard
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom