Acha wivu,nakuaminia Asprin.Khaa!
Am outta here!
Ngoja niangalie upepo upande wa pili. Hapa kimeshaumana. Huyu akipelekwa gulioni katerero kununuliwa matoke ODM atakumbukwa wapi na vibamia vyake vya bagamoyo vilivyokosa samadi ya kuku?
Ukaguzi Cancelled!
We Mwali unajigonga kwa The Finest? Usije kutulilia hapa kama Kongosho jana,zinga la hat breka huyo.
Yeahhh mi ntamsaidia majukumu yake humu kwa muda. . .akorudi namkabidhi!!
Ni mmoja tu kwa kweli ....
Nikipata muda zaidi nta describe kila kitu kuhusu yeye..
"Hot" in what sense? Mmewahi kukutana macho kwa macho na hao mnaowaita "hot", au kigezo cha kuwaita "hot" ni labda tu perceived popularity, demonstrated intellect, majigambo etc yanayotokana purely na maandishi mnayosoma jukwaani kutokana tu na uwezo mkubwa na umarufu wa watu fulani usiowajua kutumia lugha kimaadishi?
Mpiganaji,nasikia wewe ndo umesababisa husninyo ajipige PI jf,ya kweli hayo?"Hot" in what sense? Mmewahi kukutana macho kwa macho na hao mnaowaita "hot", au kigezo cha kuwaita "hot" ni labda tu perceived popularity, demonstrated intellect, majigambo etc yanayotokana purely na maandishi mnayosoma jukwaani kutokana tu na uwezo mkubwa na umarufu wa watu fulani usiowajua kutumia lugha kimaadishi?
Unataka kubadili Location??
Safari hii sidhani km kuna location Bishanga...
Lakini hizo ni tetesi tu
Huwezi amini kaka,leo asubuhi kwenye inbox yangu nimekuta ujumbe wa kuni reinvite unga ltd,ndo napaki mizigo niwahi flight (nipo tokyo on a bizness trip,huku jioni saa izi),nimeombwa nije na zawadi ya kimono.
Hahaaa dogo bhana....BADILI TABIA ni ile PM moja tu imekukuna mpaka umekuja kunimwagia sifa humu jamvini?...ngoja nijipange nikutumie ya pili...
Afadhali umekuja banaQUOTE=Yummy;3838471]My husband is very hooooooooot.....maadam hajatajwa bora nisimtaje maana Erotica ataanza kummendea bureee!
Wapi Dena Amsi?
Afadhali umekuja bana
We peke yako ndo mwenye uwezo na mamlaka ya kujitaja
Hebu nitaje kwa herufi kubwa wasije wakaniiba bure
DA hawezi yeye si unajua ni nyumba ndogo
a
Nitaji fortify kwa kufakamia kafanta ka gongo,kumbe hali bado tete maeneo husika?Hahahaahahahaaa utashangaa unafika Unga Ltd unamkuta mwenyeji wako kawekwa mikononi mwa somebody...lol itabidi uje Sakina nikupe hifadhi ya muda....
Cha msingi usijinyonge tu
Mmmmmhhhhh!!!!!!! Kumbe?[/QUOTE]Hahaahaaa my darling hubby yani roho yangu imesuuzika sanaaaa hujatajwa maana ningeanza kukufikiria vingine kama hao waliotajwa mara kumi kumi...we mtakatifu bana.
Erotica OLE WAKOOOOO
Good girl,
Hakikisha unakuja without.... Sawa mtoto mzuri BADILI TABIA uliyebadilika eh? Mi niko with tayari kwa ukaguzi. Wahi kabla huJawahiwa.