Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Khaa!

Am outta here!

Ngoja niangalie upepo upande wa pili. Hapa kimeshaumana. Huyu akipelekwa gulioni katerero kununuliwa matoke ODM atakumbukwa wapi na vibamia vyake vya bagamoyo vilivyokosa samadi ya kuku?

Ukaguzi Cancelled!
Acha wivu,nakuaminia Asprin.
 
Last edited by a moderator:
we
Obstacle gani tena TF? Mi sina mtu humu ndani,
Nina Uncle yangu ( Kaizer) na anti ( AshaDii)
Wakikubali hao sioni nini kinaziwia tena...
Ukiskia Mwali ndio mimi, na mimi ndio Mwali.
We Mwali unajigonga kwa The Finest? Usije kutulilia hapa kama Kongosho jana,zinga la hat breka huyo.
Kama vipi ngoja nikukuwadie dume la mbegu kwetu uhayani.
 
Last edited by a moderator:
"Hot" in what sense? Mmewahi kukutana macho kwa macho na hao mnaowaita "hot", au kigezo cha kuwaita "hot" ni labda tu perceived popularity, demonstrated intellect, majigambo etc yanayotokana purely na maandishi mnayosoma jukwaani kutokana tu na uwezo mkubwa na umarufu wa watu fulani usiowajua kutumia lugha kimaadishi?

nadhani hayo yote mtoa mada kafafanua!...
 
"Hot" in what sense? Mmewahi kukutana macho kwa macho na hao mnaowaita "hot", au kigezo cha kuwaita "hot" ni labda tu perceived popularity, demonstrated intellect, majigambo etc yanayotokana purely na maandishi mnayosoma jukwaani kutokana tu na uwezo mkubwa na umarufu wa watu fulani usiowajua kutumia lugha kimaadishi?
Mpiganaji,nasikia wewe ndo umesababisa husninyo ajipige PI jf,ya kweli hayo?
 
Unataka kubadili Location??
Safari hii sidhani km kuna location Bishanga...
Lakini hizo ni tetesi tu

Huwezi amini kaka,leo asubuhi kwenye inbox yangu nimekuta ujumbe wa kuni reinvite unga ltd,ndo napaki mizigo niwahi flight (nipo tokyo on a bizness trip,huku jioni saa izi),nimeombwa nije na zawadi ya kimono.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi amini kaka,leo asubuhi kwenye inbox yangu nimekuta ujumbe wa kuni reinvite unga ltd,ndo napaki mizigo niwahi flight (nipo tokyo on a bizness trip,huku jioni saa izi),nimeombwa nije na zawadi ya kimono.

Hahahaahahahaaa utashangaa unafika Unga Ltd unamkuta mwenyeji wako kawekwa mikononi mwa somebody...lol itabidi uje Sakina nikupe hifadhi ya muda....
Cha msingi usijinyonge tu
 
QUOTE=Yummy;3838471]My husband is very hooooooooot.....maadam hajatajwa bora nisimtaje maana Erotica ataanza kummendea bureee!

Wapi Dena Amsi?
Afadhali umekuja bana
We peke yako ndo mwenye uwezo na mamlaka ya kujitaja
Hebu nitaje kwa herufi kubwa wasije wakaniiba bure
DA hawezi yeye si unajua ni nyumba ndogo
a[/QUOTE]

Hahaahaaa my darling hubby yani roho yangu imesuuzika sanaaaa hujatajwa maana ningeanza kukufikiria vingine kama hao waliotajwa mara kumi kumi...we mtakatifu bana.
Erotica OLE WAKOOOOO
 
Afadhali umekuja bana
We peke yako ndo mwenye uwezo na mamlaka ya kujitaja
Hebu nitaje kwa herufi kubwa wasije wakaniiba bure
DA hawezi yeye si unajua ni nyumba ndogo
a

Hahaahaaa my darling hubby yani roho yangu imesuuzika sanaaaa hujatajwa maana ningeanza kukufikiria vingine kama hao waliotajwa mara kumi kumi...we mtakatifu bana.
Erotica OLE WAKOOOOO[/QUOTE]
Mmmmmhhhhh!!!!!!! Kumbe?
 
Hahahaahahahaaa utashangaa unafika Unga Ltd unamkuta mwenyeji wako kawekwa mikononi mwa somebody...lol itabidi uje Sakina nikupe hifadhi ya muda....
Cha msingi usijinyonge tu
Nitaji fortify kwa kufakamia kafanta ka gongo,kumbe hali bado tete maeneo husika?
 
JF :A S-rose:sijui nani is hot and nani is not....:israel:
Labda mjitaje wenyewe nianze kufanya evaluation zangu hapa:A S-omg:
me love all of u
 
Hahaahaaa my darling hubby yani roho yangu imesuuzika sanaaaa hujatajwa maana ningeanza kukufikiria vingine kama hao waliotajwa mara kumi kumi...we mtakatifu bana.
Erotica OLE WAKOOOOO
Mmmmmhhhhh!!!!!!! Kumbe?[/QUOTE]

Kumbe nini, Bishanga na wewe hupitwiiiii......mbona ukiwa unawaongelea kina Lizzy, Michelle, E wa T wengine huwa hatusemi kitu wajameni?! Kuanzia leo nataka uwe unamuangalia shemeji yako asiende nje zaidi ya kwa DA(nimempa ruhusa), sawa????
 
Back
Top Bottom