Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Salama mkuu. naona vijana mnakimbiza thread hahaha...
Mi navuta pumnzi hapa nasubiri baraza jipya la mawaziri tu ndugu yangu anaweza akaula hahahaha nitakualika kwenye mnuso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama mkuu. naona vijana mnakimbiza thread hahaha...
Kweli mkuu?
Haaa haaa! How ru dear!
BADILI TABIA ni ile PM moja tu imekukuna mpaka umekuja kunimwagia sifa humu jamvini?...ngoja nijipange nikutumie ya pili...
Si ni rejao tu uliyemchoropoa kwa Cantalisia,au kuna mwingine?
Unashangilia nini?
Afu nyie mamods hasa we Fang kwani hakuna mamods wa kike? Tuoneeni huruma mtuachie hivi vibinti vya moto na sisi wakulima tufaudu.
Siamini kama hii kauli yaweza nisababishia ban. Na nikilimwa ban naandamana kutafuta saini milioni
Umeamua kula top layer, haya!
:doh😡Kongosho umenikumbusha mbali sana kwenye red hapo....ukipata hiyo na ugali(chui) ule wa chini kwenye sufuria karibu na ukoko..down layer:whoo:.....back to topic....:A S-frusty::A S 109:
Hahahahaaa mi mzima bukheri wa afya na hivi mvua zimeanza basi kilimo mtindo mmoja,M'Jr ..
Mi niko poa tu my dear ..
hOFU NA MASHAKA NI WE ULIE MBALI NA UPEO WA MACHO YANGU..:glasses-nerdy:
hahahah hahaha lol
Mzima lakini?