Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Bora usiseme kitu maana wataniletea nouma................watoto hawa utadhani wamezaliwa siku ya GULIO......!@

Heee heeee heeee!
Habari yako Binafsi baba!!!
Heshima mbele km tai ukizingua tu tunakomaa na wewe!
 
....hahahaha naona wapwa zangu mnanipigisha gwaride kwenye Chit-Chat kila siku sasa.

Funny to read comments zenu. Ila hata sasa sijajua kama mimi ni ke au me maana the way life it is is hard to predict.... Just call me
PAW wakuu.

Tupo pamoja and feel safe wakuu wangu.


 
Last edited by a moderator:
wewe ni he tena wa ukweli..... ipo proved mbona PAW
 

Ok Ok mzee wa kurekebisha tabia a.k.a mzee wa nidhamu PAW
 
Mie nakuslimu tu Mkuu PAW
Siku zote nakusiaga hatimaye leo nimekuona lol!
 
Nashukuru kwa kuzingatia vigezo na masharti BADILI TABIA,but uwe makini na huyo Mzee Mtambuzi kwana hatabiriki!!!
 
Last edited by a moderator:
Mie kwa upande wangu mwanaume aliye hot,hoter and hotest na ambaye nina uhakika na uhoti wake si mwingine bali ni my Darling na mume wangu kipenzi Rejao!!
 
Last edited by a moderator:
wewe ni he tena wa ukweli..... ipo proved mbona PAW
LoLz

Ok Ok mzee wa kurekebisha tabia a.k.a mzee wa nidhamu PAW
Salama mkuu. naona vijana mnakimbiza thread hahaha...

Mie nakuslimu tu Mkuu PAW
Siku zote nakusiaga hatimaye leo nimekuona lol!
Always round mkuu wangu.

Ah! I thought hii thread ni ya females zaidi lakini naona all gender wanasaka kitu kimoja HOTMAN...

Nafurahi kusoma comments
 

sasa majibu gani hayo, naona sasa unataka ban wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…