Mmh tunawashukuru kwa wale ambao familia zao ndo priority zao za kwanza, ila kiukweli sio wote. Naona lundo la wanaume wabinafsi linavyozidi kushamiri. Naziona familia nyingi sana ambazo mama ndo amegeuka baba kimajukumu kwa sababu baba ameamua kuinvest kwa vimada na bar. Mungu anawaona
Kama mtu anaishi nyumba ya kupanga ila still anaitunza familia yake kadri ya uwezo wake, huyu anaweza kueleweka. Maybe maisha hayajawa smooth kwake kihivyo kwake au maybe kipato kikubwa anakitumia kwenye kuinvest kwenye elimu ya watoto wake na welfare nyingine, bado utegemezi wa wazazi, ndugu jamaa na marafiki.... Angalau he is responsible, inaeleweka japo ndo hivyo tenaWa hivyo wapo tunawaona ila huwa wanasikitisha sana,
Yaan mtu anasubiria mafao ndiyo akajenge hii ni aibu sana kwa mwanaume 45years upo nyumba ya kupanga!
Yani nashindwa kuelewa tunakosea wapi honestly. Idadi ya wanaume irresponsible inazidi kuenea jamani mmhWe angalia hata mada zao humu siku hizi, mara wafundishane namna ya kumchuna mwanamke, mwingine alisema wanawake tujiongeze tulipie mahari!!
Sijui ni malezi ndio tunakosea au shida ni nini!!!
Useme tu kipenzi watu wajifunze, it's too much. Kuna familia zinaishi maisha ya ajabu mno, ukimkuta baba anavyospend unakataa kama familia yake ndo ile uliyoiona.hata sina la kusema ! nisije haribu uzi wa watu!
Asanteee, nikweli kabisa, huwezi piga pamba za maana mke wako anashinda na kuzurula na madela, watoto wanavaaa mitumba grade ya mwisho, ni uenda wazimu wa kiwango cha juu.Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.
Si ajabu kumkuta mwanaume ana suruali moja au mbili tu lakini anajenga nyumba na watoto wanakwenda shule.
Nchi hizi za jirani zetu zenye kuiga uzungu mwingi, mwisho wa mwezini mwanaume anakwambia weka sehemu mchango wako wa budget mezani kabla hujaenda saloon. Nimeshuhudia mume akitembea na remote control kwenye brief case kisa mke hakuchangia LUKU.
Wanaume wengine wanaokaribiana na wanongo kwa kutunza wanawake ni wa Ghana. Hawa mshahara wako hutaukizwa unakwenda wapi lakini siku mkitoka usimtie aibu mbele ya rafiki zake eti umevaa dera la elfu tano.
Inatia aibu Sana basi tu!Ni hali ya maisha tu lakini nyumba ya kupanga siyo ya kukaa kwa muda mrefu mkuu. Ninakumbuka mshkaji wa karibu alifia na mama yake mwenye nyumba alikataza matanga ilibidi tulilie hospitali
Na wa hivyo kwa maisha ya sasa ni mmoja mmoja sana.Kama mtu anaishi nyumba ya kupanga ila still anaitunza familia yake kadri ya uwezo wake, huyu anaweza kueleweka. Maybe maisha hayajawa smooth kwake kihivyo kwake au maybe kipato kikubwa anakitumia kwenye kuinvest kwenye elimu ya watoto wake na welfare nyingine, bado utegemezi wa wazazi, ndugu jamaa na marafiki.... Angalau he is responsible
Hapa tunamsemea mtu mwenye kipato lakini hajali familia. Nyumbani watoto hawapati lishe bora ila baba kajaza fridge kwa mchepuko. Nyumba inapokaa familia imechokaaa ila baba kashusha mjengo kwa kimada, kama sio kuweka heshima bar. Watoto wanaishi maisha as if baba hayupo kabisa khaa. Aliyezishika fahamu za watu hawa, Mungu anawaona.
Sema tuu usiogopehata sina la kusema ! nisije haribu uzi wa watu!
Mimi makaka wa JF ninawapenda hata socks zikinika ninawaeleza
Leo mmetutetea duh Mara ya kwanza nasikia JF hzo compliments
Kwenye miti hakuna wajenzi wakati kuna wa dada wameolewa hata bei ya chumvi haijui wakati yeye ni mfanya kazi
Sema tuu usiogope
Tunashukuru mdada wa JF KWA kuwa mkwel juu ya kaka zakoMimi makaka wa JF ninawapenda hata socks zikinika ninawaeleza