Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

Barua ndeeeefu... inaonekana umekerekwa haswaa.
Lakini ahsante, umeandika uzi ambao jambo hili lilikuwa kichwani mwangu.

Kwenyr uzi ule nilimuuliza jamaa swali kama hili akabaki anaruka ruka.
 
Mimi pia, siku nikiamua kusema humu wasiojua wanadhan nimekurupuka, mwaka wa 12 sasa nipo JF nishindwe kuwajua watu kweli!!!
Tunawastiri tu ila dharau zikizidi sana inabidi tupasue puto,🎊
Watu wanaomba hadi kushea mabwana humu ndanii.
Watu wanapora hadi mabwana na hawatakiwii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ afu wanajifanya lijari. Lol
 
Unadhani kuji defend hivyo kutabadilisha kitu? Ndio uko hivyo, jikubaliii Shoo.
Hasira za kukataliwa peleka huko, mxxxxiiiiieeeeeew.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hana jipyaa, ana trauma ya jinsi alivyo, afu pia alikosaga bwana humu ndani. Bas lina hasira hatariii. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio file lake limewekwa wazi hapa kumbe anafukuliwa ndio maana kila muda anakitaja taja, nilitaka kushangaa πŸ˜ƒ
Walikua na kundi lao hao, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaambiwa walikua wanatafuta matajiri wa JF.
full heka heka kuchukuchukaaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We kmmy zako uko wapi?
Weka location nije kuku to mber na panga..!!

Mimi nataka kukuzalisha wewe uzae shoga mwenzio, uko wapi nishapaka mkongo unanichelewesha..!!
 
Kwa ruhusa yenu mzeni mniruhusu nipate fundo la maji,, em dadavua kidogo hapo πŸ‘†
 
What's your point?

Tukifuata sheria zote za MUNGU kwenye agano la kale , tell me, would you be alive today?
 
Nishakutana na limama la kizungu Midland hotel morogoro likaniganda nikakimbia. Mwili wa baridi kama nyoka .aise mimi na ngozi nyeupe mbalimbali
Huyo labda alikuwa na tatizo, wazungu hawana miili ya baridi kama ambavyo watu huwa wanasema
 
What's your point?

Tukifuata sheria zote za MUNGU kwenye agano la kale , tell me, would you be alive today?
My point is The Bible can not be used as a moral guidance, since it contains hundreds of immoral acts by our modern moral codes.

And I wonder how an All-knowing God can allow acts of unimaginable immorality like child massacre "then" and condemn it "later".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…