Wanaume wa Kijaluo wakimbeba David Livingstone mwaka 1885 kumuonesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua

Wanaume wa Kijaluo wakimbeba David Livingstone mwaka 1885 kumuonesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua

Livingstone alifika ziwa Victoria? Mwaka huo mbona alikuwa ameshafariki? Hii historia ulisoma wapi?
Wapumbavu kama hawa ni kuwatukana asirudie upumbavu wake wa kuandika upupu kila siku....
 
Wadau hamjamboni nyote?

Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.

View attachment 3193895


Maelezo kwa kutumia Lugha sahihi ya kiswahili ni kwamba David Livingstone ni 'mshamba' wa kwanza kutoka bara ulaya aliyeona na kusimulia wazungu wenzie kuhusu ziwa Nyanza / Victoria

Explorer : a person who explores a new or unfamiliar area.
 
Kwa hiyo uvumbuzi ni mjumuiko wa juhudi kutoka kwa wenyeji waafrika , waarabu na hao wazungu

Hapa ni wenyeji wa maeneo hayo ndiyo wavumbuzi wa kwanza.

Wengine ni watu wakuja kutoka maeneo ya mbali ya bara Afrika, halafu Waarabu, WaOmani wakasimuliwa na kuona pia, Wa Persia / Shirazi, Wareno wakasimuliwa, Wahindi, wataliano wakasimuliwa, Wamarekani, Wajerumani waliokuwa na ubalozi Zanzibar wakasimuliwa na mwishoni mwingereza akasimuliwa na kuona..

Department, Dispatches from U.S. Consuls in Zanzibar (hereafter cited as DCZ),. 1836-1906.
 
Back
Top Bottom