Maelezo kwa kutumia Lugha sahihi ya kiswahili ni kwamba David Livingstone ni 'mshamba' wa kwanza kutoka bara ulaya aliyeona na kusimulia wazungu wenzie kuhusu ziwa Nyanza / Victoria
Explorer : a person who explores a new or unfamiliar area.
Hapa ni wenyeji wa maeneo hayo ndiyo wavumbuzi wa kwanza.
Wengine ni watu wakuja kutoka maeneo ya mbali ya bara Afrika, halafu Waarabu, WaOmani wakasimuliwa na kuona pia, Wa Persia / Shirazi, Wareno wakasimuliwa, Wahindi, wataliano wakasimuliwa, Wamarekani, Wajerumani waliokuwa na ubalozi Zanzibar wakasimuliwa na mwishoni mwingereza akasimuliwa na kuona..
Department, Dispatches from U.S. Consuls in Zanzibar (hereafter cited as DCZ),. 1836-1906.