julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
hahaha mbavu zangu weeee.
Wakurya wanapendwa sana na ke kwa sababu wengi wao wanamashine kubwa na wanacheza vizuri.....hahaaaa dada karibu Bunda
Wanawake siku hizi hawapend wanaume waongeaji sana. Wanahisi wanalaghaiwa.
Wakurya hawanaga stori,utasikia 'NINKUHANCHIRI UKANG'A LIMWI.
Et nakipenda nipe. Mwanamke ukiongea maneno mingi anakuwa na mashaka na ww.
Mwambie Nataka uwe demu au mke wangu wa ndoa inatosha,Story nying za nn?
Kama hasomek achana naye, WANAWAKE WAKO WENGI.
Rejea sensa ya 2010. Ni 54%.
Ne niwalolekesa tu.......Ne niyi tu nuuu kuhyetu....
Pa mbolimboli, tiketa mbolimboli, pa nyatanyata, tihamba kinyatanyata... Tohotola kuhamba cha yilondekana...Ne niwalolekesa tu.......
mhamba mbolimboli, pambwani hapa pabwina he
Ni kwamba wanayajua mapenzi sana,wana mafanikio sana au wameacha ile tabia yao ya kupiga mangumi wake zao?maana siku hizi hapa mjini mabinti wenzangu naona kama ndo fashion,kila shoct wangu anamilikiwa na mwanaume wa kikurya!
mmh mi bure siwataki, hawatabiriki hao kama hali ya hewa ya dar mara mvua mara jua, utajikuta siku kakuwekea mzigo wa fimbo chini ya kitanda unachapwa weee akitoka hapo anamuambia mama Roche mimi nakupenda sana!! siwezi mwanzangu
Kwa sababu wanaume tunekuwa wachache!