Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Pole sana usijali wakati ukifika utampata atakae kuona wewe ni mrefu huo ufupi ulio nao hautoonekana.
 
Poleni sana kina Kobelo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Dah! We jamaa kumbe ni mbilikimo a.k.a Dr. Pimbi!! Pole sana maana utakuwa unapitia kipindi kigumu sana unaposimama na sisi wanaume wenzako ambao ni Warefu wa kimo kuliko wewe.
 
Shida ni ufupi na ubishi mzee, ndio shetani iwenu.
 
Nadhani hili ndilo kabila ambalo halikuleta upinzani wowote kwa wakoloni, ila wanasifika kucheza ngoma ambazo wazungu walisema ni za kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…