Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole sana usijali wakati ukifika utampata atakae kuona wewe ni mrefu huo ufupi ulio nao hautoonekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana kina KobeloImekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Sawatatizo vijana wa Kiruguru mnaongea mno zaidi ya chiriku!
Milima ya UluguruUngechambua ufupi wenu unatokana na nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MNYAMAKAZIWasamehe bure tolu[emoji23]
viluguru vifupi, vibishi halafu vina majungu na fitna kama jecha
Hahahmjomba mkude naona yamekufika hapa.hahahahaha, ujumbe umefika mjomba.
Hahah JF rahaMna midomo sana wanaume wa kirugulu n vimo vyenu hamtuliz vikojoleo kabsaa
HahhahaArooo wanaume wa kiruguru achaaa ni midomo gubu yaan unakosea kdogo atakaa wiki amefura kama kifutu anaongea anamezameza maneno kama anapoza tonge la ugal mdomoni
Mbona madharau ndugu?
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume.
Shida ni ufupi na ubishi mzee, ndio shetani iwenu.Waluguru ni watu makini na hawana shida ndogo ndogo tofauti na watu wa kaskazini ambao huko kwao njaa kali kazi kukimbilia morogoro na kulia lia njaa. Tumewafadhili sana humu Moro lakini hatimaye mnaleta madharau. Kweli Mfadhili Mbuzi Binadamu hutamuweza....