Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Pole sana usijali wakati ukifika utampata atakae kuona wewe ni mrefu huo ufupi ulio nao hautoonekana.
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Poleni sana kina Kobelo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume.

Dah! We jamaa kumbe ni mbilikimo a.k.a Dr. Pimbi!! Pole sana maana utakuwa unapitia kipindi kigumu sana unaposimama na sisi wanaume wenzako ambao ni Warefu wa kimo kuliko wewe.
 
Waluguru ni watu makini na hawana shida ndogo ndogo tofauti na watu wa kaskazini ambao huko kwao njaa kali kazi kukimbilia morogoro na kulia lia njaa. Tumewafadhili sana humu Moro lakini hatimaye mnaleta madharau. Kweli Mfadhili Mbuzi Binadamu hutamuweza....
Shida ni ufupi na ubishi mzee, ndio shetani iwenu.
 
Nadhani hili ndilo kabila ambalo halikuleta upinzani wowote kwa wakoloni, ila wanasifika kucheza ngoma ambazo wazungu walisema ni za kishenzi.
 
Back
Top Bottom