Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Waluguru ni watu makini na hawana shida ndogo ndogo tofauti na watu wa kaskazini ambao huko kwao njaa kali kazi kukimbilia morogoro na kulia lia njaa. Tumewafadhili sana humu Moro lakini hatimaye mnaleta madharau. Kweli Mfadhili Mbuzi Binadamu hutamuweza....
 
Njini agoha, barabara ja lami majumba apandiana pandiana,
Naskia mnaogopa sana kuvuka barabara ndio maana mjini mko wachache
Jamani, aahaaaa.. That's not true mbona me siko hivyo..( natania) Aaahhhaaaaa.... Halafu sio mfupi Pia.( natania) .hhaaaaaa... Ila jamani some people wanadharau kweli na tribes za watu ... Thanks..
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Pole dear.. People hawaishi kuongea maana no jema kwao hata ufanyeje... Just mind your business ... Achana nao.. Who says tabia zinatokana na Kabila? That's myths.. Its all about malezi.. Na kuhusu ufupi ndio Mungu aliyeumba whom people should they judge? Pole kwa kuumizwa na fikra za watu .. Songa mbele.. Thanks..
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.

Ok.....tumekusikia.......sasa tufanyeje......?....yaani tunaanzia wapi.......?......nipo tayari kufuta hii dharau wallah........
 
Njini agoha, barabara ja lami majumba apandiana pandiana,
Naskia mnaogopa sana kuvuka barabara ndio maana mjini mko wachache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu umeandika kwa hisia sana na niww by the way me ni short ila na uboro wa. haja pia napenda vidada vifupi kama vya iringa.
asanten
 
relax mkuu....kwanini usifanye mpango ukahama kabila?!
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Hii mbaya sana.
 
Mkude uko mjini Darisalama?
Usijitangaze kabila lako. Tanzania ya leo bado tunaulizana makabila?
 
Back
Top Bottom