nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Umenikumbusha HG wangu alikuwa ananichekesha jana eti ukiwa mnene huwezi kupata kazi Tigo...kwi kwi kwi...
Wanataka ma model....
Nikamwambia umejuaje...akasema nitafutie mfanyakazi wa Tigo mnene...
Hapo tulikuwa tuna discuss kwa nini baadhi ya television bongo zina watangazaji wasio na mvuto kabisa unlike za nje ya nchi...