Sio wote... Thanks..viluguru vifupi, vibishi halafu vina majungu na fitna kama jecha
Jamani, aahaaaa.. That's not true mbona me siko hivyo..( natania) Aaahhhaaaaa.... Halafu sio mfupi Pia.( natania) .hhaaaaaa... Ila jamani some people wanadharau kweli na tribes za watu ... Thanks..Njini agoha, barabara ja lami majumba apandiana pandiana,
Naskia mnaogopa sana kuvuka barabara ndio maana mjini mko wachache
Pole dear.. People hawaishi kuongea maana no jema kwao hata ufanyeje... Just mind your business ... Achana nao.. Who says tabia zinatokana na Kabila? That's myths.. Its all about malezi.. Na kuhusu ufupi ndio Mungu aliyeumba whom people should they judge? Pole kwa kuumizwa na fikra za watu .. Songa mbele.. Thanks..Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jmn..Kwani Wafupi sana kama doctor love? Au ni ufupi wa kawaida.
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Watazaa viminiAchaneni na makabila mengine kama wanawadhrau. Mlugulu + Mlugulu. hapo dharau itatoka wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]Njini agoha, barabara ja lami majumba apandiana pandiana,
Naskia mnaogopa sana kuvuka barabara ndio maana mjini mko wachache
kimini cha bamedi au cha secretaryWatazaa vimini
Kimini cha kilugurukimini cha bamedi au cha secretary
Hii mbaya sana.Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.