Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Ufupi wa mwili/unbornunborn
 
aaaah nyinyi mnasema warugulu je wapare mnawaacha wapi?
 
huo ufupi mnafananisha na nini??
maana unaweza kujiona mrefu kumbee na wewe ni kindururu
 
Sisi sote tumeumbwa na Mungu, tusiwe tunadharauliana, haipendezi
 
Waruguru haa haaa kwa ufupi,majungu,fitina,hamjambo ndo asili yenu mkubali tu
 
Ufupi wa nini? Ufupi wenu unawahusu vipi wanawake! Ufupi wa nn & #&$$#%£¥€[emoji768][emoji767]¿¿ Funguka tu mkuu umeamua kusema.. Semaaaaa!!
 
Ningezaliwa uluguruni au pwani ningebadili kabila

Ni bora kuzaliwa Papua New Guinea kuliko huko.
 
Ushauri tu wa bure kwa mtoa mada. Kama ni wafupi na mushahisi munazaraulika kwa ufupi wenu tafuteni wafupi wenzeni mujenge kizazi japo ufupi utaendelea kuwepo kwenye hicho kizazi. Na kama unataka mwanamke mrefu Fanya kazi kwa bidii tengeza hela ya kutosha honga vya kutosha utampata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…