Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Kuna mmoja anakaa mitaa ya survey amekaa kama demu nahis wahuni wanampelekea moto huko DAWASCO/Saudia
 
NI haki ya kikatiba kutodharauliana
 
Lazima mdharaulike sana tu kwa mambo yenu ya ajabu ajabu UMBEA UMBEA na KUTOKUJIAMINI kwenu.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Hawa jamaa ni wavivu cjawai ona....wao wanapenda misaada tu...hata aone kemikali inadondokea machoni hawez funga jicho kwa uvivu.
 
Yaan wana mambo ya ajab sana afu wanapenda mashindano hao usiombe ukamdate mbilikimo wa kiliguru afu ukamuacha atakufanyia timbwil la asha ngedere nyuma
Daaah...inatosha mama la mama

[emoji86]
 
heheheyaaa
 
kumbee ndo maana kila siku nina ugomvi na baba chanja......... mfyuuuuu
 
Waluguru tupewe heshima yetu
 
Hahahahaaaa..........[emoji31] [emoji31]
 
Arooo wanaume wa kiruguru achaaa ni midomo gubu yaan unakosea kdogo atakaa wiki amefura kama kifutu anaongea anamezameza maneno kama anapoza tonge la ugal mdomoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una uzoefu nao hawa watu inaonekana.
 
Tatizo lenu wavivu kufanya kazi mmewekeza kwenye mapenzi ndoa hamziwezi wamama ndo viongozi was family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…