Bwana Banzi
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 397
- 196
aya mtani wetu kama hupendi ngoma KALAGA BAHO.......! ila jaribu siku moja kucheza mdundiko au vanga au mkwaju ngoma utajua raha yake. Zamani morogoro kuna mdundiko ulikuwa unaitwa KISAMANGO, pembeni unamkuta stage show anaitwa KUDURA n mwenziye alikuwa anaitwa ALI NDESO...daaah ilikuwa hatari mtani wangu, ila karibu ngomani uje ukonge nyoyo yako mtani wetuMie afadhali huo ufupi kuliko ubishi mliokuwa nao na kuongea kwa makelele, jumlisha kupenda ngoma katika mambo ambayo siyapendi kwa watani zangu(wanaume wa kilugulu)
Hamhongi lazima udharaulike tuuuDharau hazijengi nyi wadada wa kichaga (hasa machame)
Tatizo lingine mnaongea sanaImekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Kwa hiyo nyie kitu mnachofahamu ni mapenzi tu?Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Dahhh....! pole kaka kwa yaliyokukuta, ila huyo hakukupenda mweyewe tu..kwa sababu ufupi au kabila sio kigezo cha kupendwa au kutokupendwa. au ushafanya utafiti kwa wangapi kutoka huko kaskazini? ushauri rudi ukaye kama vipi mbona wapo wengi tu wazuri, nenda tununguo, ngerengere,matombo, mikese, mvomero, mzenga,kidugalo,,,utapata wa kimo chako huko,kuna wazaramu, wadoe,waluguru, wakwere (hapa tunafanana)..pia waweza kwenda mgeta utapata tu wazuriImekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
ha haaaa....sio mapenzi tu, siku hizi tunasoma jamani....tena baada ya miaka 5 mbele tutakuwa tunaongoza kuwa na wasomi wengi tanzaniaKwa hiyo nyie kitu mnachofahamu ni mapenzi tu?
Ila kwa hofu mliyo nayo mtatoboa?ha haaaa....sio mapenzi tu, siku hizi tunasoma jamani....tena baada ya miaka 5 mbele tutakuwa tunaongoza kuwa na wasomi wengi tanzania
yeah....! tutatoboa. why not? tunasoma sasa hivi...watu wanaenda ngomani na madesa mkononi, chezea waluguru weweIla kwa hofu mliyo nayo mtatoboa?
Mkuu umenichekesha sana , kaza butiyeah....! tutatoboa. why not? tunasoma sasa hivi...watu wanaenda ngomani na madesa mkononi, chezea waluguru wewe
kukeketa msamiati mpya kabisa huo huku kwa kabila za pwani aiseeh, mluguru, mkwere, mzaramu ni kumfunda mwali na kumfundisha unyago, na namna bora ya kuishi na watu tu yatosha...hayo mengine twa wa achia kabila za huko bara yaani hayatuhusu mkuuHiyo ndiyo Bantu from Kongo chukulia kawaidà MKUU uzuri wake hawakeketi kama makabila mengine

ha haa haa...kama kawa mkuu, tumeshtukia ishu, twasoma sasa hv mkuu ila mdundiko,mkwajungoma twacheza piaMkuu umenichekesha sana , kaza buti
Hahahaha...jasiri haachi asiliha haa haa...kama kawa mkuu, tumeshtukia ishu, twasoma sasa hv mkuu ila mdundiko,mkwajungoma twacheza pia
Kama vitu gani mkuu?Kuna Vitu Huwa Vinamfanya Mwanaume Kuheshimika Siku Zote Na Popote Na Bila Kujali Ufupi. Labda Kma Umevikosa!!!
haha aaa....ni kweli, yaani haya mambo ya kufurahi siwezi kuya acha, japo siku hizi huku dar hawaruhusu, tunasafiri hadi vijijini kwetu kufurahiHahahaha...jasiri haachi asili