Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #21
Ngamia auUnahisi nakupanga?π
Nyama yenyewe hata kg haikufika, kesho yake sikukuu kaniletea nikaogopa kula nyama ya kafara.
Ng'ombe wa kuteketezwaNgamia au
Wagalatia huwa hawapendi nyama na tende za bure kutoka kwa waarabu, hilo linawahusu waisilamu tu.Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure....kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU???
Sema kweli ππWagalatia huwa hawapendi nyama na tende za bure kutoka kwa waarabu, hilo linawahusu waisilamu tu.
Nyama iliyonona ukimpa shekhe aigawe itamuozea mikononi kwa uchoyo.
Weeeeee.... Nyama kilo sa ivi alfu kumi.. wapi huko wanagawa nyama bure na mi navae shati za hivi hapa niende huko??Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure....kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU???
DuuhWengine wanaenda familia nzima ili iwe nyingiβ¦. Umaskini mbaya sana, unadhalilisha mno.
π€£π€£π€£Weeeeee.... Nyama kilo sa ivi alfu kumi.. wapi huko wanagawa nyama bure na mi navae shati za hivi hapa niende huko??
Papasa π€£π€£Kuwaona hao jamaa waliokua wana gombania nyama isiwe sababu ya kutusema wanaume wa Tanzania kama vile na wengine tulikuepo huko jifunze kuandika habari bila kujumuisha na wasio husika
Haaaah kumbe waturukiWaturuki Hao,hata huku wapo,wanakusanya mbuzi kondoo na kuchinja kisha kugawa bure,
Acha gubu mtaniWagalatia huwa hawapendi nyama na tende za bure kutoka kwa waarabu, hilo linawahusu waisilamu tu.
Nyama iliyonona ukimpa shekhe aigawe itamuozea mikononi kwa uchoyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakuja kulalamika, wanawake wa siku hizi kausha damu hawataki kula dagaa wanataka nyama, ndo tulienda kugombania nyama kwa ajili yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahJirani yangu muislamu alienda yeye na mumewe na kijana wao ilikua asubuhi wakarudi usiku jasho linawatoka na vifurushi vyao[emoji23]
Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure....kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU???
Utani! Huku mitaani kwetu kila mwaka mashekhe haulalamikiwa kwa kuficha nyama na tende za msaada, cha ajabu zikianza kuvunda wanajidai kuleta misikitini kuzigawa!Acha gubu mtani