Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?

Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?

Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.

Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure....kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?

Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

Inakuaje nyama za bure mnagombania?

Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.

NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU???
Wagalatia huwa hawapendi nyama na tende za bure kutoka kwa waarabu, hilo linawahusu waisilamu tu.
Nyama iliyonona ukimpa shekhe aigawe itamuozea mikononi kwa uchoyo.
 
Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?

Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?

Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.

Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure....kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?

Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

Inakuaje nyama za bure mnagombania?

Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.

NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU???
Weeeeee.... Nyama kilo sa ivi alfu kumi.. wapi huko wanagawa nyama bure na mi navae shati za hivi hapa niende huko??
 
Kuwaona hao jamaa waliokua wana gombania nyama isiwe sababu ya kutusema wanaume wa Tanzania kama vile na wengine tulikuepo huko jifunze kuandika habari bila kujumuisha na wasio husika
Papasa 🤣🤣
 
Jirani yangu muislamu alienda yeye na mumewe na kijana wao ilikua asubuhi wakarudi usiku jasho linawatoka na vifurushi vyao[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Hao wagawa nyama.......mpaka waende kwenye nyumba za ibada kutuzalilishia watanzania wenzetu.
Wanagombea nyama....wao wanawachukua video...duuu
 
Tumia akili kuleta mada.

Mpaka sasa sijaona mwanaume anayefahamu hizo nyama mmegombania wapi na zimetoka kwa nani isipokuwa wewe pekee

Back
Top Bottom