Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

Duh!
Ni kujidharirisha KIJINSIA kwakweli na INASHUSHA HADHI YA KIUME.
 
Management skills ina apply almost kwenye kila eneo la maisha ya mwanadamu.
Hilo zoezi lilipaswa kuwa jepesi sana kufanyika bila tafrani wala kuleta usumbufu mwingine ambao unakuja kuleta tafsiri ya udhalilishaji.

Viongozi wa dini wanapaswa kulizingatia hili. Wajifunze namna ya kuongoza watu kisomi haijalisshi ni sekta ya kidini.
Mfano

  • walijua hii siku ya kugawa kitoweo ipo, wala sio kwamba imekuja as a suprise.
  • wanajua target ya huo mgao ni watu wa class ipi
  • wangeandaa mapema utaratibu wa kuwafikia walengwa na kuwaandikisha kwa uwazi tu na idadi ikitimia ibandikwe mahala ambapo watu watajua hawa ndio waliwahi kuandikwa na ndio wanao stahili kupata mgao
  • siku ikifika wapangiwe tu muda, like kuanzia namba flan mpaka namba flan , ninyi muwepo hapa saa 1 , namba flan mpaka namba flan muwepo hapa saa 4.

Simple tu
 
Fact mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…