Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure....kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU???
NHabari mbona kama haieleweki?
Yaani wenzetu hawa kwakweli km wanataka kujiunga nanyi ni bora waweke wazi tu.Watakuja kulalamika, wanawake wa siku hizi kausha damu hawataki kula dagaa wanataka nyama, ndo tulienda kugombania nyama kwa ajili yao.
Hukusoma Cuba nini? Haya maneno yatakusaidia kutegua kitendawili: ''mfungo, waarabu, sadaka, nyumba za ibada, kanzu, tende''
YeahDuh!
Ni kujidharirisha KIJINSIA kwakweli na INASHUSHA HADHI YA KIUME.
Fact mkuuManagement skills ina apply almost kwenye kila eneo la maisha ya mwanadamu.
Hilo zoezi lilipaswa kuwa jepesi sana kufanyika bila tafrani wala kuleta usumbufu mwingine ambao unakuja kuleta tafsiri ya udhalilishaji.
Viongozi wa dini wanapaswa kulizingatia hili. Wajifunze namna ya kuongoza watu kisomi haijalisshi ni sekta ya kidini.
Mfano
- walijua hii siku ya kugawa kitoweo ipo, wala sio kwamba imekuja as a suprise.
- wanajua target ya huo mgao ni watu wa class ipi
- wangeandaa mapema utaratibu wa kuwafikia walengwa na kuwaandikisha kwa uwazi tu na idadi ikitimia ibandikwe mahala ambapo watu watajua hawa ndio waliwahi kuandikwa na ndio wanao stahili kupata mgao
- siku ikifika wapangiwe tu muda, like kuanzia namba flan mpaka namba flan , ninyi muwepo hapa saa 1 , namba flan mpaka namba flan muwepo hapa saa 4.
Simple tu
Ok
Mtani una gubuHukusoma Cuba nini? Haya maneno yatakusaidia kutegua kitendawili: ''mfungo, waarabu, sadaka, nyumba za ibada, kanzu, tende''
🤣🤣😂😂Yaani wenzetu hawa kwakweli km wanataka kujiunga nanyi ni bora waweke wazi tu.
😂🤣🤣Endelea kutoelewa.
N
WajinaUdaku
DaahKwakweli ni aibu, basi wangetafuta utaratibu wana namna ya kugawa, yaani mwanaume na mindevu unapanga foleni kwa ajili ya nyama? kah!