Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

Sasa mkuu ulitaka hao walimu wafanyeje wakati wamepigika kweli kweli hawana ata mia mbovu? Ebu jifunze kuwahurumia walimu bwana
 
Unahisi nakupanga?😂
Nyama yenyewe hata kg haikufika, kesho yake sikukuu kaniletea nikaogopa kula nyama ya kafara.
Tunashukuru mkuu, wewe mwenzetu Mungu amekuruzuku sisi wengine uwezo wa kununua hatuna ndiomaana tunapanga foleni kutwa nzima tukiwa na familia, ila kwavile tuna miguu na mikono acha tuendelee kupambana Iko siku Allah ataturuzuku kama wewe
 
Mtaa gani huo lilikofanyika tukio hilo?
Wanaume kugombania nyama!
Sijawahi kusikia.
 
Tunashukuru mkuu, wewe mwenzetu Mungu amekuruzuku sisi wengine uwezo wa kununua hatuna ndiomaana tunapanga foleni kutwa nzima tukiwa na familia, ila kwavile tuna miguu na mikono acha tuendelee kupambana Iko siku Allah ataturuzuku kama wewe
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…