KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Naam kiongoziWajina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam kiongoziWajina
Mtani acha gubu 🤣🤣HALAFU WAKIISHAPOKEA NYAMA TOKA KWA WAHINDI,WATURUKI, WAGIRIKI,WAARABU WANA MSHUKURU SAMIA NA CHAMA CHAKE!
Punguza gubu 🤣🤣Naam kiongozi
Gubu gani tenaPunguza gubu 🤣🤣
DuuuhUtani! Huku mitaani kwetu kila mwaka mashekhe haulalamikiwa kwa kuficha nyama na tende za msaada, cha ajabu zikianza kuvunda wanajidai kuleta misikitini kuzigawa!
Udaku 🤣🤣🤣Gubu gani tena
Sasa mkuu ulitaka hao walimu wafanyeje wakati wamepigika kweli kweli hawana ata mia mbovu? Ebu jifunze kuwahurumia walimu bwanaYaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure....kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU???
😇Udaku 🤣🤣🤣
Duuungano kilo5 na mchele kilo 2
afu wanafuturisha wali nyama! watu hawapiki skuizi wanashinda kwa waturuki
DuuuhSasa mkuu ulitaka hao walimu wafanyeje wakati wamepigika kweli kweli hawana ata mia mbovu? Ebu jifunze kuwahurumia walimu bwana
Tunashukuru mkuu, wewe mwenzetu Mungu amekuruzuku sisi wengine uwezo wa kununua hatuna ndiomaana tunapanga foleni kutwa nzima tukiwa na familia, ila kwavile tuna miguu na mikono acha tuendelee kupambana Iko siku Allah ataturuzuku kama weweUnahisi nakupanga?😂
Nyama yenyewe hata kg haikufika, kesho yake sikukuu kaniletea nikaogopa kula nyama ya kafara.
Mtaa gani huo lilikofanyika tukio hilo?Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure. Kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU?
DuuuhTunashukuru mkuu, wewe mwenzetu Mungu amekuruzuku sisi wengine uwezo wa kununua hatuna ndiomaana tunapanga foleni kutwa nzima tukiwa na familia, ila kwavile tuna miguu na mikono acha tuendelee kupambana Iko siku Allah ataturuzuku kama wewe
Tembea uoneMtaa gani huo lilikofanyika tukio hilo?
Wanaume kugombania nyama!
Sijawahi kusikia.
😂🤣🤣🤣Mama Samia aombe misaada ya nyama uarabuni
Waturukingano kilo5 na mchele kilo 2
afu wanafuturisha wali nyama! watu hawapiki skuizi wanashinda kwa waturuki
WalimuSasa mkuu ulitaka hao walimu wafanyeje wakati wamepigika kweli kweli hawana ata mia mbovu? Ebu jifunze kuwahurumia walimu bwana