Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

Njaa na Aibu wapi na wapi?
 
Hujadanganya umeandika hoja yenye mashiko sana, juzi last week huku mkoa ulioko mpakan na Rwanda na Uganda Kiboko (mnyama) aliuawa na maliasili kutokana na sababu maalum. Wakati wa kugawa Ile nyama niliona aibu mimi.!
 
Hujadanganya umeandika hoja yenye mashiko sana, juzi last week huku mkoa ulioko mpakan na Rwanda na Uganda Kiboko (mnyama) aliuawa na maliasili kutokana na sababu maalum. Wakati wa kugawa Ile nyama niliona aibu mimi.!
Watoto hawakukanyangwa mkuu???
 
Ngoja washibe wanakuja kukunanga muda sio mrefu utaomba thread ifutwe na admin
 
Kuwaona hao jamaa waliokua wana gombania nyama isiwe sababu ya kutusema wanaume wa Tanzania kama vile na wengine tulikuepo huko jifunze kuandika habari bila kujumuisha na wasio husika
Na ingewezekana angewapiga mpaka picha kukamilisha ripoti iliyo sahihi.
 
Ila sio mbaya........wanaogawa si wameamua kutudhalilisha ili wakatuseme huko kwao kua waafrika masikini wa kutupwa
 
Ndoo utafutaji wenyewe mtoto hawezi uliza kama ulikuwa unagombania
 
Utakuta hao wanaume ni wale Waislam wapigao wenzao wanaofunga wakati wa ramadhani.
 
Kama wewe unamudu mahitaji Yako Kwa usahihi na uhakika shukuru MUNGU
Maisha hayafanani kati ya familia na familia

Kuna mwingine ndio unafuu wake hiko kitoweo angalau anapata protini kutoka kwenye nyama mara moja baada ya miez 6
Daaaa mixed feelings......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…