Odense
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 1,189
- 1,585
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo hapa Koromije S/Msingi.Hiyo kitimoto inagaiwa wapi mbona hatuambizani.
Njaa na Aibu wapi na wapi?Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure. Kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU?
Hujadanganya umeandika hoja yenye mashiko sana, juzi last week huku mkoa ulioko mpakan na Rwanda na Uganda Kiboko (mnyama) aliuawa na maliasili kutokana na sababu maalum. Wakati wa kugawa Ile nyama niliona aibu mimi.!Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure. Kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU?
DuuuuuuNjaa na Aibu wapi na wapi?
Watoto hawakukanyangwa mkuu???Hujadanganya umeandika hoja yenye mashiko sana, juzi last week huku mkoa ulioko mpakan na Rwanda na Uganda Kiboko (mnyama) aliuawa na maliasili kutokana na sababu maalum. Wakati wa kugawa Ile nyama niliona aibu mimi.!
🤣😂😂😂Hiyo kitimoto inagaiwa wapi mbona hatuambizani.
Vijana walienda kwenye mstari wa wazee, acha bakora zitembee Kwa vijana wavurugaji wa utaratibu.!Watoto hawakukanyangwa mkuu???
😂🤣🤣🤣🤣 karagwe hiyoVijana walienda kwenye mstari wa wazee, acha bakora zitembee Kwa vijana wavurugaji wa utaratibu.!
Na ingewezekana angewapiga mpaka picha kukamilisha ripoti iliyo sahihi.Kuwaona hao jamaa waliokua wana gombania nyama isiwe sababu ya kutusema wanaume wa Tanzania kama vile na wengine tulikuepo huko jifunze kuandika habari bila kujumuisha na wasio husika
Unataka picha mkuuNa ingewezekana angewapiga mpaka picha kukamilisha ripoti iliyo sahihi.
Yap, sasa ukifika hapo unakua unasogea konani kidogo kama unaenda Murongo.! Wilaya iliyozaliwa na Karagwe.![emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] karagwe hiyo
Utakuta hao wanaume ni wale Waislam wapigao wenzao wanaofunga wakati wa ramadhani.Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure. Kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU?
Daaaa mixed feelings......Kama wewe unamudu mahitaji Yako Kwa usahihi na uhakika shukuru MUNGU
Maisha hayafanani kati ya familia na familia
Kuna mwingine ndio unafuu wake hiko kitoweo angalau anapata protini kutoka kwenye nyama mara moja baada ya miez 6