Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mwisho wa siku wamama watawakimbiaPamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema.
Wanaume wa mikoani hawali milo yenye mafuta sana
Tazama hii na muwaambie vijana wa Dar kwamba wenzenu hawatumii vumbi la Kongo wala putururu...
wazingatie vyakula vya asili
Hapa yalibaki maziwa tuView attachment 2627655
Ukishamaliza kula hii kitu utulivu huwa ziroPamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema.
Wanaume wa mikoani hawali milo yenye mafuta sana
Tazama hii na muwaambie vijana wa Dar kwamba wenzenu hawatumii vumbi la Kongo wala putururu...
wazingatie vyakula vya asili
Hapa yalibaki maziwa tuView attachment 2627655
Labda ungesema wanafanya zaidi kazi za kutumia nguvu na ulaji wa vitu visivyokobolewa, ila sababu sio iko chakula ulichoweka hapo.Pamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema.
Wanaume wa mikoani hawali milo yenye mafuta sana
Tazama hii na muwaambie vijana wa Dar kwamba wenzenu hawatumii vumbi la Kongo wala putururu...
wazingatie vyakula vya asili
Hapa yalibaki maziwa tuView attachment 2627655
Nilipewa huo mlo na maziwa mgando nilifurahi sana aiseh!!Pamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema.
Wanaume wa mikoani hawali milo yenye mafuta sana
Tazama hii na muwaambie vijana wa Dar kwamba wenzenu hawatumii vumbi la Kongo wala putururu...
wazingatie vyakula vya asili
Hapa yalibaki maziwa tuView attachment 2627655
Mboga swadakta kabisaPamoja na kwamba wazee wa mikoani huitwa washamba na wepesi kuingizwa mjini lakini katika suala la uimara wa afya na nguvu za kiume wako vyema.