Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasoma post kisha angalia na picha utaelewa tu mkuu.
AhahahKama mnafikiri hivi sisi akina baltazary tutawachapia sana tu🤔
Wapo wanaopenda serious, just find person anae endana na wwWanawake hawapendi mwanaume mwenye msimamo, akili na malengo yake yaliyonyooka
Wanapenda mamlaka siku hizi, so hawapendi mwanaume serious
Ndiyo maana miguu imekuwa kama SPOKU fidodido ,uboho na uloto wote umekamuliwa.Kwema wakuu,
Hebu tujadili kidogo, wanaume wa namna hii mbona wanaongoza kwa kupendwa na wadada?
View attachment 3147889
SijaelewaWanawake hawapendi mwanaume mwenye msimamo, akili na malengo yake yaliyonyooka
Wanapenda mamlaka siku hizi, so hawapendi mwanaume serious