Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mariooooo
 
Asee mimi sijawahi mkopa mwanamke pesa.

Dah! kwanza sijui nitaanzaje aise! Sjalelewa kiivyo kabisa.

Huwa nawakopesha wanawake zingine wanarudisha zingine ndo ivo tena..!! Adi masela pia huwa nawatoa tu.

Sasa sijui ndo kuhonga uko...
 
Umeandika kwa hisia. Ila tujifunze pia. Mwanaume hajawahi kukupa hela yake unamkopeshaje? Mimi nakusoma kwanza ndo hela yangu tunabadilishana.Nipe nikupe. Hii mambo ya kucheza pata potea ipo siku utaliwa hela mingi. Sema jamaa mweeeee
Umeona eeehh!!Mimi aanze kunipa yeye kwanza...!!!ila unajua mazoea nayo unamuamini mtu mfano mkwe we na don..mfano tu lakini ikitokea kakuomba umkopeshe utashindwaa...!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hao wanavaa na mikanda nje,tofauti na mateja wa kitaa..bora teja aki vile...
 
Kwani anayo mengi au hili moja tu? Nimejaribu kumuuliza nimuulize ndugu vipi mbona unavunja heshima simpati.
 
Hahahahaahaa

Eti kiduka changu kimepitiwa na TRA!!!

Watu wana fix[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari yako Somoe
 
Lakini umejifunza siku ingine mtu ambae hujala 100 yake usimpe. Utakuta hapo aliwakopa hata 10 huku.. mi ntamtafuta bado hilo jambo nk zito sana hadi naona aibu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…