Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Saaana,.aibu naona mm..[emoji85]Ila kazingua mno
Weeeeee. Nilitapeliwa mara moja kwa kujenga imani japo hela zake nilikula ndo maana alivyoleta shida nilimsaidia ba akanipiga ila zaidi ya hapo hakuna jambo la mie kutapeliwa tena.Hawajui tu wanapoteza kiasi gani Mara nyingi wa hivi anakua ndo kazi yake kamtapeli mumu kesho mzigua,wiki ijayo mumu next month mwingine basi tafrani
Hahaha kweli mkuu hapa Chuga sidhani kama wapo masela wa aina hiyo.Aisee hao wanaume ni wa wapi maana huku Arusha na Kilimanjaro sijawahi kuwaona…
Khaaaaa huku jf wanafake ukionana nao huwezi aminiLakini sio waJf jamani. Huku watu na mindinga yao hawawezi kutapeli kalaki kwa mdada jamani..
Wa huko sema wanaishi DarAisee hao wanaume ni wa wapi maana huku Arusha na Kilimanjaro sijawahi kuwaona…
Huyu ndio Daby sasaa...Bora umerudisha hii avatar nilikuwa sikuelewi kabisa na avatar zako
Analo sijui tu imekuaje kufanya alichofanya na kukaa kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini pagumu jamani!!mpk wakaka wanadangaa!!kumbe hana duka wala kioski!!
Na sisi tutaandama mrudie kuwa wanaume kamili. Badala mtupe hela sisi nyie ndo mnatuomba na kututapeli juuIla awamu hii mtatuua nyie wanawake,
Kaanza Magufuli naona na nyie mnaelekea mulemulee.
Wanaume tutaandamana!!
Nimecheka sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukileta uzi umu uxpokaa fiti unakua wako
Yani kanipa mawazo.. japo nshakula hela yake ya Heineken[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huwezi jua shosti mjini hapa ukute ndo zake!
huji kunisemea hapa? nihakikishie usalama wangu kwanza maana wanawake mu jeshi kubwa.Tumeanza lini kukopeshana?
Si uchukue tu, au umesahau Pin?
Nipe no basi lokesheni tuachane nayo mkuu. Tutajua tutakavyo lipana.[emoji3] [emoji3]Lokesheni tena jamani inahusiana nn na no jamani