Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Hawajui tu wanapoteza kiasi gani Mara nyingi wa hivi anakua ndo kazi yake kamtapeli mumu kesho mzigua,wiki ijayo mumu next month mwingine basi tafrani
Weeeeee. Nilitapeliwa mara moja kwa kujenga imani japo hela zake nilikula ndo maana alivyoleta shida nilimsaidia ba akanipiga ila zaidi ya hapo hakuna jambo la mie kutapeliwa tena.
 
Back
Top Bottom