OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Fanya chap sasa mkuu..nipe na lokesheni yako!Nakupm mkuu wangu sema kingine ninavyopenda mahela naachaje kuja pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya chap sasa mkuu..nipe na lokesheni yako!Nakupm mkuu wangu sema kingine ninavyopenda mahela naachaje kuja pm
Heshima kitu cha buree japo ukimfanyia hivi binadamu anakuona lofa...kumbe anajiharibia,.Hapo ndo wanapokosea. Wakiaminiwa wajali basi heshima walopewa.
Tumeanza lini kukopeshana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wana fix +njaa basi tafrani tupu mjini hapaHahahahaahaa
Eti kiduka changu kimepitiwa na TRA!!!
Watu wana fix[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kazingua mnoHuko aliko ishaisha...anatafuta pengine SAA hii...
Mkwe usione aibu wewe...hujakosa najua ulivyo mzungu bwanaa!!Lakini umejifunza siku ingine mtu ambae hujala 100 yake usimpe. Utakuta hapo aliwakopa hata 10 huku.. mi ntamtafuta bado hilo jambo nk zito sana hadi naona aibu mimi
Wooooiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii mjini pagumu nyiee ukikosa cha kufanya,..kubeti hakulipi tenaBaba mmoja mama mmoja matumbo tofauti!!
Fanya chap sasa mkuu..nipe na lokesheni yako!
Lakini sio waJf jamani. Huku watu na mindinga yao hawawezi kutapeli kalaki kwa mdada jamani..Kama zote
Utaunga mkono hoja ya kukutoa chama cha wadangaji shauri yakoSijasoma ila naunga mkono hoja....
Usijali mkuu wewe jipange tu ..nipe na lokesheni yako.[emoji3]Hauhongi unakopesha na Mimi ntakuja unikopeshe kama laki hivi ila sitakulipa [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji6]hapo ndipo anapoamua kubadili id jf!!