Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Tatizo Sio Wanaume. Tatizo liko Kwa wadada hawana muda wa kuona au kutaja hisia zako. Wanachotaka ni akutimizie haja yako umpe maokoto
 
Ni kweli wanaume sikuiz wamepunguza ku-approach wanawake, na sio kwa sababu ya woga, ngono sikuiz imeongezeka sana it doesn't make sense ukisema tunaogopana.

The fact is, wanawake mnazingua sana, mimi miaka ya nyuma nilishawahi kumtongoza mdada mmoja akanikatalia, nilichukulia poa sana wala sikulialia au kuendelea kumtongoza, I moved on.

Sasa cha ajabu yule mdada akaanza kutangaza kwa watu tena washkaji zangu kwamba nimemtongoza kanitalia then nikaanza fujo, eti sikuchukulia poa swala la kukataliwa, kitu ambacho hakikutokea.

Ilinisikitisha sana, ilichukua muda mwingi sana hadi kurudi hali ya kawaida ya ku-interract na wanawake.

Miss Champagne
 
Itoshe kusema kutongoza tongoza ovyo ni dalili za umalaya.

Mtu na pesa zake ahangaike kukimbizana na vidosho mabarabarani wakati kuna watu wamejiajiri ukuwadi ina make sense?

Haya, tuachane na hilo, kama kijana anataka kukuoa kakupenda kwanini asiunganishiwe na mshenga ili akupate bila kudhalilishwa?

Nawatetea watongozaji kwa sababu visichana vingine vya ovyo vina ngebe ya kuzaliwa, kikitongozwa bila kuchuja maudhui ya mtongozaji, kenyewe ni kutukana tu ovyo ovyo kikijua kimekomesha kiherehere cha mtu.

Ndiyo maana 'Face to face' yangu tamu utaipata ushaletwa ninawe kitandani, na utanipenda usitamani kuondoka na tufunge ndoa.

Hauwezi nikuta barabarani nikisorolea milupo, wakati huo kula ninakula tu sana yaani.
 
Kwani kwenye social platforms wanazotumia wana'epress nini? Kilichobadilika ni means tu, lakini intention inabaki palepale.
 
Acha uongo, zamani walikuwa wanawatumia wazee ila sisi tunamface kabisa
Kutumia wazee ilikuwa kama unataka kuoa! Lakini hawa wa kupiga huku mmesimama tulikuwa tunawaface wenyewe kabisa! Kama unabisha kamwulize shangazi yako Sikujua!
 
I seee!!!!!!!

Dunia imekuwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…