Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itoshe kusema kutongoza tongoza ovyo ni dalili za umalaya.Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.
Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.
Ishukuruni technology.
Jana Ulikuwa unatafutwaNi kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kuwa nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii.
Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara.
Hizi sio characters za upinde kweli.Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kuwa nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii.
Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara.
NiliendaJana Ulikuwa unatafutwa
Tofautisha mshamba na mzee.Huo ni ukahaba.bora nionekane mshamba
Kutumia wazee ilikuwa kama unataka kuoa! Lakini hawa wa kupiga huku mmesimama tulikuwa tunawaface wenyewe kabisa! Kama unabisha kamwulize shangazi yako Sikujua!Acha uongo, zamani walikuwa wanawatumia wazee ila sisi tunamface kabisa
I seee!!!!!!!Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.
Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.
Ishukuruni technology.
😂😂 watu wanaliwa kama karanga.
😂😂Unaeleza hisia zako baada ya masaa machache,mtu anakuwa anadaiwa kodi,kioo cha simu kimevunjika anataka simu mpya,Anaumwa,anasikia njaa,viatu vyake vimeharibika, kila siku hana bundle.Hapo bado hajakuambia pesha zake za vikoba na mchezo ambao ana majina matatu, ndio maana sometimes tunakulaga buyu ili kuepusha stress husizo plan.
Watu wanaliwa asubuhi,mchana na usiku watu tofauti😂😂 watu wanaliwa kama karanga.
😂 alafu ndio uendekeze hisia kwa mtu kama huyo uanze kumuimbisha anakuona kenge tu.Watu wanaliwa asubuhi,mchana na usiku watu tofauti
Hahaha hisia gani wajuba wananachotaka ni K tuNi waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.