GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale yanayoendelea Congo DR na kule Mtwara mpakani na Msumbiji ambapo Watu (hasa wa Makao Upanga) wanavyodondoka tu.
Ni kwamba Wanawake (Warembo) wa Mji wa Kampala hapa nchini Uganda wanasema wanavutiwa zaidi na Wanaume kutoka Tanzania kwakuwa wana Ndoga za maana halafu wana Pumzi za uhakika na upachikaji wao wa Magoli Nyavuni huwa ni ya Nguvu hadi Wanaridhika tofauti na Wanaume wa Mataifa mengine jirani.
Haya Mjumbe hauwawi nimeshawafiksihieni Salamu zenu hivyo mkija huku msishange kuona mnagombaniwa sawa?