Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

Umesahau namba zao za simu.tutawapata vipi.
Kuna Mmoja ameanza P juzi ila kesho anamaliza na Jumamosi namkandamiza nao hivyo nikimaliza nitakupa Namba yake sawa Mkuu? Kwa aina ya Kalio lako lilivyo na alivyo Modo sitaki Kumchelewesha na lazima ajue kuwa Wanaume wa Tanzania tuna Vipaji Tukuka vya Kubandua / Kukaza EA kama siyo Afrika nzima Kudadadeki.
 
Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale yanayoendelea Congo DR na kule Mtwara mpakani na Msumbiji ambapo Watu (hasa wa Makao Upanga) wanavyodondoka tu.

Ni kwamba Wanawake (Warembo) wa Mji wa Kampala hapa nchini Uganda wanasema wanavutiwa zaidi na Wanaume kutoka Tanzania kwakuwa wana Ndoga za maana halafu wana Pumzi za uhakika na upachikaji wao wa Magoli Nyavuni huwa ni ya Nguvu hadi Wanaridhika tofauti na Wanaume wa Mataifa mengine jirani.

Haya Mjumbe hauwawi nimeshawafiksihieni Salamu zenu hivyo mkija huku msishange kuona mnagombaniwa sawa?
Ujakosea back nedeiz aliwahi Manzi kusafiri kutoka Kampala adi bk masikani tulienjoy sana life ad baadae tuliendekeza urafiki nikamsaidia hadi baadhi ya mambo ya kibiashara ,bahati mbaya mawasiliano yalikatika kutokana na mambo ya kupoteza simu.
 
Kenya hawatushobokei ila kwingine sana bora waganda nenda hapo Rwanda kama unataka kujua tunashobokewa sana pale hata familia nzima inakushobokea.
Kwanini inakua hivyo tuna nini special kuwazidi wao?,majibu tafadhali
 
Uko Nakawa, Ntinda, nakasero, kibuli, makerere au? Uko wapi mkuu
 
Waambie tunawakubali pia hasa misambwandraaa.Dah watoto wamejaliwa waleee yaani nilikaa kampala wiki kuja bongo Nikaona Kila manzi ana flat skrini.
Ile Mizigo ni sababu ya Matoke....Mizigo laiiiiiiiniiiiiiiiii......
 
Back
Top Bottom