Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

nchi ya uganda kama una nguvu za kiume nenda kapime gear box yako mwanaume mwenzangu kama inaweza kufikia gear 16 mpaka 4wd
 
Wakati huku kwao ndio mabalozi wazuri wa vumbi kutokea Kongo 😀😀
 
Wewe dawa yako ni kupokonywa hiyo cm na boss wako, houseboy gan kutwa kushusha nyuz wakati umepelekwa Ug kulisha ng'ombe wa boss? Muda wa kukata nyas na kusafusha mabanda wewe unachat
 
Mnahonga sana
Rahisi kushikwa akili
Mnapenda kujimwambafai ile za uanaume
Ngono ndo nguzo kuu ya wanaume wa tz mnawahi kuridhika na vipato vyenu baada ya utafutaji kifuatacho👉qyuuums

Mengine mnadanganywa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…