Nilienda zangu klabu moja maarufu Tarime mjini pale, nikakutana na tabia ya ajabu sana kutoka kwa wanaume wa maeneo yale.
Ishu ilikua hivi, baada ya kuwa nimepoa zangu muda mrefu naskiliza tu mdundo kidogo kidogo, akanifata mwana mmoja ivi, pigo za kisharobaro kibaao.
Kisha akaanza kuniambia eti ameniona nimekaa kinyonge mda mrefu, nimnunulie bia mbili alafu yeye atafte demu mimi ndo nilipe alaf eti tukamgonge wote.
Asee nilishangaa sana, mwanaume kweli unaendaje klabu kutegema kulipiwa bia na mwanaume mwenzako alaf tena mwanaume mwenzako akutolee ela ww ukale mzigo kiurahisi tu.
Ebana nikajisemea moyoni kumbe ni kweli wanaume tumebaki wachache sana duniani. Nikaamua niondoke kabisa kumbi ile kuamia kumbi nyngne ya palepale mjini.
Wacha nisikutane na jamaa wengne wenye pigo hizohizo, nikajua kumbe hizi ndo pigo za chalii wa uku.
Mwisho. Kama mpo huku wanaume wa tarime, niwaambie kuwa hii ni tabia ya kipumbavu na kidhaifu sana, BADILIKENI.